Eden Hazard kwisha habari yake atajuta kwenda Spain

Eden Hazard kwisha habari yake atajuta kwenda Spain

Hazard kakuta cream ya Madrid imeisha,board ya Madrid na zidane wafanye usajir mkubwa tena dam changa,hapo ndipo utauona hazardinyo
 
Wakati mwingine mfumo unaharibu uzuri wa mchezaji EDEN HAZARD ameambiwa mara nyingi utoe pasi watu wengine wafunge, mfumo wa Chelsea walimu wote walimpa hazard uwanja mzima yaani wewe funga tu sasa huku lazima apewe galasa benzema .
 
Mtu ametoka injury hajacheza hata mechi tano bado hajawa match fit unasema amefeli
 
Back
Top Bottom