jamaa tatizo kanenepa amekuwa kama JB.Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England
Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote
Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu
Hana chochote kabisa yaan ni garasa
Huyu jamaa pole yake aisee
Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Hahah. Utakuwa shabiki wa chelsea wew una hasiraNdo hivyo huyu ninja ataikumbuka England
Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote
Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu
Hana chochote kabisa yaan ni garasa
Huyu jamaa pole yake aisee
Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Yule kipa kwa kweli atolewe mkopo hata FilladefiaMadrid watalia sana na wachezaji wa Chelsea. Kipa yule ndo wameramba garasa kabisa, hana lolote
😁😁 Mtulie hiz Ni pre season tu jaman duuhNdo hivyo huyu ninja ataikumbuka England
Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote
Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu
Hana chochote kabisa yaan ni garasa
Huyu jamaa pole yake aisee
Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Ndo hivyo huyu ninja ataikumbuka England
Nimetizima game zote ambazo kacheza hana makeke wala hana chochote
Wala hakuna bak anayemkamia kama kipindi yuko England unakuta anakabwa na mabeki watatu
Hana chochote kabisa yaan ni garasa
Huyu jamaa pole yake aisee
Nahis had mda huu moyo wake unadunda maana tiar kashaanza kujua kuwa kumbe alichemka
Mpira biashara na exposure.Ulitaka afie Chelsea?Laana kali ya mashabiki wa chelsea si unaona thibat courtour yule kipa hahaha