Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia gharama ya kuchukua fomu. Lakini hata hivyo, hiyo fedha waliochanga haitatumika kulipia hizo fomu. Hiyo shilingi milioni 1.5 imetolewa na mwanachama wetu mmoja anayeitwa Edgar Mwakabela kwa jina maarufu Sativa."
Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Mwakabela alinusurika kuuwawa baada ya kutekwa mnamo Juni 2024.