Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia gharama ya kuchukua fomu. Lakini hata hivyo, hiyo fedha waliochanga haitatumika kulipia hizo fomu. Hiyo shilingi milioni 1.5 imetolewa na mwanachama wetu mmoja anayeitwa Edgar Mwakabela kwa jina maarufu Sativa."
Hiyo Kwa wenye hicho pevu wataona kwamba, Kuna ujumbe mkubwa unaopelekwa kwa Watawala na wale wa siasa moderate hasa ndani CHADEMA.
Uongozi uliopo ni kama imeshindwa kuadopt radical approach kuzikumbusha mamlaka juu ya uwajibikaji kwa raia wa Tanzania.
Hongera Sativa, sijawahi changia chama chochote Cha siasa zaidi ya kuchangia Lissu atibiwe na pia kwa huu uchaguzi ntamchangia pia Lissu, kiasi cha million Moja. Tunaomba watuwekee account za kuchangia.
Hiyo Kwa wenye hicho pevu wataona kwamba, Kuna ujumbe mkubwa unaopelekwa kwa Watawala na wale wa siasa moderate hasa ndani CHADEMA.
Uongozi uliopo ni kama imeshindwa kuadopt radical approach kuzikumbusha mamlaka juu ya uwajibikaji kwa raia wa Tanzania.
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia gharama ya kuchukua fomu. Lakini hata hivyo, hiyo fedha waliochanga haitatumika kulipia hizo fomu. Hiyo shilingi milioni 1.5 imetolewa na mwanachama wetu mmoja anayeitwa Edgar Mwakabela kwa jina maarufu Sativa."
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia gharama ya kuchukua fomu. Lakini hata hivyo, hiyo fedha waliochanga haitatumika kulipia hizo fomu. Hiyo shilingi milioni 1.5 imetolewa na mwanachama wetu mmoja anayeitwa Edgar Mwakabela kwa jina maarufu Sativa."
Kuna mtu akishinda hii nafasi, mambo mengi meusi yanaenda kufichuka hadharani. Hivi kweli Peter Msigwa mpaka anaamua kuondoka haku... (au ngoja kwanza ntarudi).