Pre GE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hongera Sativa, sijawahi changia chama chochote Cha siasa zaidi ya kuchangia Lissu atibiwe na pia kwa huu uchaguzi ntamchangia pia Lissu, kiasi cha million Moja. Tunaomba watuwekee account za kuchangia.
Mnataka ac no ili tukichanga mzitaifishe? CCM tumewashtukia.
 
HUYU SATIVA HATA KAMA AMEMCHANGIA LISSU FORM, AKAMATWE KWA UTARATIBU WA KISHERIA "ACHAPWE VIBOKO 10 HADHARANI" AENDE ZAKE AKIRUDIA MATUSI VIBOKO VIONGEZEKE NA APATIWE KAZI YA KUDEKI GEREZA LA SEGEREA KWA MIEZI MITATU
 
Mbowe aendelee kuwa mfadhili na mshauri mkuu wa chama, lkn suala la yeye kuwa mwenyekiti aachane nalo kama anataka chadema iendelee kuwepo
Hapan huyu Mzee Mbowe anatakiwa afungwe kabisa
 
Lisu weka akaunti hewani watanzania tukuchangie, siyo tu hela ya fomu bali hata fedha ya kununulia gari na suti itakayotumika siku ya kuapishwa utakaposhinda. Au uenyekiti wa chadema hauna kiapo?
 
Hongera Sativa. Umepanda mbegu ya mabadiliko.

Lisu ndio mwenyekiti ajaye wa CHADEMA
mnajmjua mchaga nyie au hamumjui aachie saccos yake kwa mburula kam ahuyo yule katumwa hela siyo taarabu za lissu
 
Mambo ndio kwanza yanaanza Upyaaa
 
Mungu ni mwema wakati wote.. Asante sana Sativa
 
Kwani si tulikubaliana twende na JOHN HECHE mbona upepo umebadilika ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…