Edger kibwana anajua sana kutangaza mpira

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Toka Kombe la Dunia lianze, upande wa DStv Swahili huyu kijana amenikosha sana, haboi kusikilizwa.

Hapigi kelele ila anatoa 'fact', usimuliaji wa mpira unatiririka.

Leo Qatar tunampiga kibonde Senegal.
 
Toka kombe la dunia lianze upande wa dstv swahili huyu kijana amenikosha sana haboi kusikilizwa

Hapigi kelele ila anatoa fact,usimuliaji wa mpira unaflow

Leo katar tunampiga kibonde senegal
English mgogoro kwako?
 
Kuna mwingine yuko Tbc anatia na mbwembwe za kiarabu kidogo pia yupo vizuri
 
Jamaa yuko mjema.

Nje ya mada: Mnaoangalia mpira kwa tbc mnawezaje wakuu, quality mbovu balaa sijui shida ni nini?

Ukiangalia chanel za dstv halafu uje kuangalia tbc unaona chenga tu.

Nilitamani kuonja ladha ya watangazaji wa tbc ila ule ukungu kideoni ulinishinda, nyie mnawezaje??
 
Mbona fresh tu. uchambuzi wa mbwaduke na mtangazaji wa kiarabu tunaenjoy tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…