Edger kibwana anajua sana kutangaza mpira

Edger kibwana anajua sana kutangaza mpira

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,187
Reaction score
6,620
Toka Kombe la Dunia lianze, upande wa DStv Swahili huyu kijana amenikosha sana, haboi kusikilizwa.

Hapigi kelele ila anatoa 'fact', usimuliaji wa mpira unatiririka.

Leo Qatar tunampiga kibonde Senegal.
 
Jamaa yuko mjema.

Nje ya mada: Mnaoangalia mpira kwa tbc mnawezaje wakuu, quality mbovu balaa sijui shida ni nini?

Ukiangalia chanel za dstv halafu uje kuangalia tbc unaona chenga tu.

Nilitamani kuonja ladha ya watangazaji wa tbc ila ule ukungu kideoni ulinishinda, nyie mnawezaje??
 
Mbona fresh tu. uchambuzi wa mbwaduke na mtangazaji wa kiarabu tunaenjoy tu.
 
Back
Top Bottom