Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Naamini hata Edmund hakuishia kuyasema mapungufu ya Magufuli tu kwenye kikao kizima. Kwa vyovyote vile alitoa vision.

Ila wakuda wakachukua kipande cha dukuduku lake tu wakaacha vision zake.
Walizibiwa mianya ya kula tu hawana lolote. Wacha walambe Asali ila 2025 watajia hawajui.
 
Mara paa! kumbe hakufa alitaka tu kujua jinsi mnavyojadili, sijui mtaendelea au ndio [emoji2958][emoji2958]
Atarudi tena kwenye Urais ? na Je sisi tuliozimia atatulipa nini ?

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Historia ipi unayo ijua?

Miundo mbinu ilikuwa finyuu .. mfano Arusha, Mwanza-Airport. Ubungo hadi kibaha masaa Sita kwenye foleni. Dar city - Airport ilikuwa masaa manne.

Endelea kuenjoy huku ukikejeli mafanikio makubwa hayo. Subiri Sasa hii awamu kama Ina lolote la maana zaidi ya kula kwa urefu wa kamba.
Acheni kuabudu kibwengo wa Chato!! Mnaandika mpaka uwongo. Eti Ubungo- Kibaha masaa sita? Ili tu umsifie DIKTETA Magufuli?

Hata kwa mguu Ubungo- Kibaha utafika kwa masaa 2 mpaka 3, sembuse kwa gari.

Shame in you devil worshiper
 
Mabarabara mengi makubwa yalijengwa na Kikwete kwa project zake nyingi za "MILLENIAL CHALLENGES" acheni kujitoa ufahamu.
Kikwete chibi ya waziri wake nani? Kikwete alivokuwa juha na mzururaji asingekuwa na waziri kama Magufuli angeweza kufatilia? Kikwete alikiwa mzembe ,mwizi na asiyejali wananchi wake!
 
Kikwete chibi ya waziri wake nani? Kikwete alivokuwa juha na mzururaji asingekuwa na waziri kama Magufuli angeweza kufatilia? Kikwete alikiwa mzembe ,mwizi na asiyejali wananchi wake!
Chuki..!, Kuna mume na mke, mume anatafuta analeta ndani, mke mwema anapanga matumizi Bora na kusimamia huku akihakikisha hakosi hela ya sidiria.
 
Hili la 2025 ni kuwa watajua hawajui inaweza kuwa ni dua la kuku tu. Kwasabb katiba yetu inampa aliyeshika mamlaka kufanya atakacho ili kupata atakacho.
Haha... Ndio Mwanzo mpyaaa. Yajayo yanafurahisha
 
Acheni kuabudu kibwengo wa Chato!! Mnaandika mpaka uwongo. Eti Ubungo- Kibaha masaa sita? Ili tu umsifie DIKTETA Magufuli?

Hata kwa mguu Ubungo- Kibaha utafika kwa masaa 2 mpaka 3, sembuse kwa gari.

Shame in you devil worshiper
Wewe mtoto mdogo sana inaonekana. Watu walikuwa wanashuka wanapiga story afu foleni ikiruhusu wanapanda Tena. Wengine walikuwa wanatembea kwa mguu. Kuvuka Ubungo ilikuwa kipengele. 2014 kikwete alikili na kusema, foleni ni dalili ya maendeleo(google hiyo ya kikwete ujifunze zaidi).
 
Adhabu ya kaburi unaijua wewe? Au wewe uko mtakatifu?

Na mapungufu yake yote hakuna mtu mwenye Legacy kama yeye. Narudia hakuna.

Mtaje hapa kama kuna kiongozi unaeamini alileta maendeleo kama ama zaidi ya JPM.
Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam
 
Awamu iliyopita pamoja na kuwa hatukua na utawala Bora na katika kipindi ambacho mipaka yote ya ulimwengu ilifungwa lakini Watanzania waliweza kumudu gharama za chakula, makazi, malazi, dawa. Bei za bidhaa mbalimbali zilikua zinahimilika.
Leo tuna utawala Bora, maisha yamekua magumu, Bei ya bidhaa muhimu imepaa juu, maisha yamekua magumu maradufu Tena katika kipindi ambacho dunia imefunguka.
 
Asiyekuwepo ni Magufuli tu , waliobaki wote wapo , huo utawala bora unaousema ni upi ?
 
Toka mtoto wake akatwe Ubunge kule Korogwe na JPM kwa issue ya ufisadi huyu mzee hana hamu na JPM. Yaani mzee aliamini mtoto angepita kabisa
Ni mwana ccm yupi hakifanya ufisadi ili achaguliwe? Huyo magufuli mwenyewe aligawa pesa. Akaiba na uchaguzi wenyewe!
 
wao walikuwa viongozi ndani ya ccm wakati wamwendazake, mbona hawakumshauri?
Unafiki kama huu wa watu wa ccm ndio hatupendi akiondoka kesho watesema SSH alikuwa 'anaendeshwa'
 
Back
Top Bottom