Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Tuwekeeni VIDEO ya hayo Maneno ya Dk. Edmund Mndolwa anayosema hayo, mimi namfahamu Dk Mndolwa ni kiongozi mwenye weledi msomi aliyebobea siamini kama anaweza kuzungumza maneno hayo
Thomaso bhana !
 
Hawamsemi aliyekufa bali wale waliomfanya vile alivyokuwa ili ujumbe ufike kuwa hawakufanya vyema na ikiwezakana wabadilike.

Dr Edmund sio mjinga

Ni mjinga. Tena sana. Mzee mzima na kende zake anakaa high table na mtu muovu na anakuwa anampigia makofi? WTF?
 
Tunataka kazi za marehemu zikamilike zote na wao waanze zingine nzio kulambishana Asali.
Hizo kazi za marehemu alitoa pesa yake mfukoni au ?; Pumbaf,

Serikali inaendesha miradi kwa utaratibu sio hili kutaka sifa za kisiasa , yaani ufanye miradi mikubwa bila utaratibu,huku watumishi wa umma uboreshi maslai yao, fedha za mifuko ya wastaafu ukombe zote,

Hapana,huo ni ulaghai ambao serikali ya mama haiwezi kufanya, miradi yote itakamilika, na huku wafanyakazi na wananchi maisha mengine yasiyumbe
 
Mwenye uhalali wa kuongea juu ya awamu ilopita ni Lissu, Ulimwengu kidogo na Nyarandu. Wengine wanafiki
 
wengi mkuu wanaishi jana na kujipendekeza wanaamini wakiuzima mshumaa wa mwingine wakwao utawaka vizuri. tumetumia pesa nyingi sana kuwasomesha wajinga lakini ujinga haukuondoka!
"Usitende kama utaishi milele"
 
Tupia clip wakati akifurahia kuitwa mungu. Twendeni na ushahidi Ili tuoneshe kweli Sisi ni great thinkers. Vinginevyo ni ujinga kuendelea kuandika vitu visivyo na uhakika
Kama angekuwa hafurahii kuitwa mungu na akina Kangi Lugora, Prof Kabudi na Sheikh Alhad wa BAKWATA Dar na Agrrey Mwanri, basi angekemea. Kitendo cha akukaa kimya wakati wateule wanakufananisha na mungu maana yake ni kuafiki kuwa wewe ni mungu.

Pili kauli yake mwenyewe kuwa kama àkitoka madarakani hakuna mtu mwingine anaweza kujenga miundombinu, ni kujikweza na kudharau kazi ya Mungu.

Tatu kwa kauli ya kuwa akifa atakuwa kiranja wa malaika, ni kufuru kwa Mungu kujiona yeye ni mtakatifu wakati mikono yake imetapakaa damu za wasio na hatia
 
Mtoto mdogo mpumbavu usiyetaka kusoma historia. Unafikiri miundombinu haikuwepo kabla ya Magufuli! Nyie kina JF Member ndiyo mnafanya Taifa lionekane Lina vijana wajinga
Historia ipi unayo ijua?

Miundo mbinu ilikuwa finyuu .. mfano Arusha, Mwanza-Airport. Ubungo hadi kibaha masaa Sita kwenye foleni. Dar city - Airport ilikuwa masaa manne.

Endelea kuenjoy huku ukikejeli mafanikio makubwa hayo. Subiri Sasa hii awamu kama Ina lolote la maana zaidi ya kula kwa urefu wa kamba.
 
Sasa wewe kwenye hili jukwaa unafanya nini mchumia tumbo mwenzao
Endelea kujitoa ufahamu, nipo kuwachora, kumbuka hata kwenye msafara wa mamba kenge wamo na kinyume chake… Rastaman wa kwanza duniani asiyekuwa na Wisdom.
 
Hawa watu hawana kabisa hoja za maendeleo?

Kwamba kumsema alie kufa ndo kutapunguza ugumu wa maisha ya waTZ?

Tutegemee kuona Samia akitukanwa baada ya utawala wake.

Wanasiasa wa namna ya Mndolwa hawafai hata kiti cha ujumbe wa nyumba kumi maana hawana vision ya kuangalia mbele badala yake wanafanya mambo yasiyo na tija.
Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala siasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?

Mndolwa alikuwa akitoa dukuduku lake kama ufanyavyo wewe hapa.

Yule baba alikuwa shetani halisi
 
Haya manafiki machawi ya CCM si ya kuyasikiliza.
Ni kweli uongozi wa awamu ya 5 haukuwa uongozi bali utawala wa kibabe,lakini kuja kulisema leo kwa mwana CCM ambaye hakuweza hata kuonyesha kutokukubaliana na matendo ya utawala huo ni unafiki wa kishetani kama ushetani wa huyo anayesemwa.
 
Historia ipi unayo ijua?

Miundo mbinu ilikuwa finyuu .. mfano Arusha, Mwanza-Airport. Ubungo hadi kibaha masaa Sita kwenye foleni. Dar city - Airport ilikuwa masaa manne.

Endelea kuenjoy huku ukikejeli mafanikio makubwa hayo. Subiri Sasa hii awamu kama Ina lolote la maana zaidi ya kula kwa urefu wa kamba.
MIUNDO MBINU MINGI ILIJENGWA NA MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE (MABARABARA) wakati huo akiita barabara ndio artery za nchi, Sijui mnakumbuka hili.
 
Mbina wewe pia hapa hutoi vision wala suasa za maendeleo badala yake unamsema vibaya Edmund Mndolwa?

Mndolwa alikuwa akitoa dukuduku lake kama ufanyavyo wewe hapa.

Yule baba alikuwa shetani halisi
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom