Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23]Timu bora zipi master? [emoji23]View attachment 2813602
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Timu bora zipi master? [emoji23]View attachment 2813602
Hapa dsm sisi ni wageni mpaka tunyanyaswe kwa hujuma namna hii? Goli 5 Simba ihujumiwe na uwanjani iingie huku ikijua tunaenda kukandwa 5? Intelijensia ya uongozi wetu ni mtori namna hii? Bora tuseme tulizidiwa mbinu kuliko kusema simba imehujumiwa ikafungwa 5.Hakuna cha kuzidiwa bloangu,we mtu kama Aziz Key anafunga mbele ya wachezaji 5 hakuna hata anayejigusa hata kuslide takling kwelii??
In short makolo bado wamechanyikiwa na ni vizuri kwa Yanga maana makolo bado wanaamini wana timu nzuri while uozo mtupuAngeenda hata Kwa mudi ...au TAKUKURU
Alichoaongea ni kweli au sio kweli?Huyu Edo ni chawa mzee tu
Hana uchambuzi wowote
Anaganga njaa uzeeni
Hujuma huwa haifanywi kwa wachezaji wote,wanachaguliwa key players ,wanawekewa mzigo shughuli kwishnei bloangu.Hapa dsm sisi ni wageni mpaka tunyanyaswe kwa hujuma namna hii? Goli 5 Simba ihujumiwe na uwanjani iingie huku ikijua tunaenda kukandwa 5? Intelijensia ya uongozi wetu ni mtori namna hii? Bora tuseme tulizidiwa mbinu kuliko kusema simba imehujumiwa ikafungwa 5.
Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.Lkn jibuni swali la Edo kumwembe
"Swali kipigo kilitokana na Robertinho, wachezaji au Mangungu?
KumbeWalimfukuza ili asisanue ukweli kuhusu huko kuuzwa kwa hiyo mechi,kwani akiwa nje hata akisema wasioelewa watamchukulia kama anaropoka tu kwa kuwa ameshatimuliwa
kwa hiyo sisi simba ni maboya ndo maana tumehujumiwa?Halafu unaweza ukazaliwa Dar na bado ukawa boya tu,
Yamekuwa hayo tena?Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.
Unataka jibu gani lingine?
Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora 😂😂
Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha 😂😂
Uto ni timu bora kuliko Simba 😂😂
Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite 😂😂
Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.
Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed 😁 😁
Ni salamu kwa Uto muache kujivunia goli tano ambazo zinawafanya muwe maarufu jangwani na Mbagara pekee.Yamekuwa hayo tena?
Kwahiyo nafasi ya kumi ndo imewafanya mfungwe 5 na Yanga?
Kwahiyo mmefungwa kwa sababu ya kuhujumiwa na siyo kwa sababu ya kuzidiwa mpira na kiwango na Yanga?Edo mlevi tu huyo
Tena wa chang'aa 😁😁Edo mlevi tu huyo
Kwahiyo huo umaarufu wenu ndo umefanya mbugizwe goli tano na Yanga?Ni salamu kwa Uto muache kujivunia goli tano ambazo zinawafanya muwe maarufu jangwani na Mbagara pekee.
Simba ni maarufu hadi nje ya nchi.
Ndio, Yanga haina ubora huo wa kutufunga goli 5 magoli yenyewe ni mepesi sana.Kwahiyo mmefungwa kwa sababu ya kuhujumiwa na siyo kwa sababu ya kuzidiwa mpira na kiwango na Yanga?
Ungejiuliza wewe na ubongo wako kwa nini hizo goli 5 hazijawaweka kwenye 10 bora Africa.Kwahiyo huo umaarufu wenu ndo umefanya mbugizwe goli tano na Yanga?