EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.

Unataka jibu gani lingine?

Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora 😂😂

Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha 😂😂

Uto ni timu bora kuliko Simba 😂😂

Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite 😂😂

Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.

Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed 😁 😁
Kuna tano zingine toka Azam January,6 toka pacome mwezi wa tatu,nyi endeleeni na ujinga wenu tu
 
Kwahiyo unamanisha anayetambaa amembugiza anayetembea mkono wa nyani?
Hata kama kampiga kwa kwa kwato ya kibudu bado Simba ni matawi ya juu sana.

Endeleeni kumchambua hizo 5 ila Simba ni ile ile inayotamba Africa.

Nyie kutamba kwa vibanda umiza vya Mbagara na Buza daima 😂😂😂😁😁😁
 
Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.

Unataka jibu gani lingine?

Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora [emoji23][emoji23]

Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha [emoji23][emoji23]

Uto ni timu bora kuliko Simba [emoji23][emoji23]

Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite [emoji23][emoji23]

Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.

Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed [emoji16] [emoji16]
Quality ya Yanga inapanda .....lkn quality ya kolo inashuka ....it's a matter of time
 
Aaahaaa

Naona 5 zinakuchanganya mpaka unajitoa akili
Heri yangu 'niliyechanganyishwa' na tarakimu 5 nikapata heshima huko CAF kuliko wewe uliyechanganywa na supu ya kibudu cha comredi hadi ukapoteza mwelekeo.

My take : mtafute pastor Mashimo akuombee utapona kwa sharti moja tu la kutoa sadaka.

Changamkia nafasi hiyo kabla hujaitoroka familia yako maana madhara ya supu ya comredi Bashite sio ya masaa 24 tu bali ni muda wote😁😁
 
Mashimo ana bifu na Simba

Mpekeeni sadaka zake
 
Back
Top Bottom