EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Hakuna cha kuzidiwa bloangu,we mtu kama Aziz Key anafunga mbele ya wachezaji 5 hakuna hata anayejigusa hata kuslide takling kwelii??
Hapa dsm sisi ni wageni mpaka tunyanyaswe kwa hujuma namna hii? Goli 5 Simba ihujumiwe na uwanjani iingie huku ikijua tunaenda kukandwa 5? Intelijensia ya uongozi wetu ni mtori namna hii? Bora tuseme tulizidiwa mbinu kuliko kusema simba imehujumiwa ikafungwa 5.
 
Hujuma huwa haifanywi kwa wachezaji wote,wanachaguliwa key players ,wanawekewa mzigo shughuli kwishnei bloangu.

Halafu unaweza ukazaliwa Dar na bado ukawa boya tu,ndio maana Mluguru wa Matombo Babu Tale anamanage Diamond Platnumz na kapiga maisha kupitia kwake na wazaliwa wa Dar wapo tu bloangu,upo??
 
Lkn jibuni swali la Edo kumwembe
"Swali kipigo kilitokana na Robertinho, wachezaji au Mangungu?
Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.

Unataka jibu gani lingine?

Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora πŸ˜‚πŸ˜‚

Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha πŸ˜‚πŸ˜‚

Uto ni timu bora kuliko Simba πŸ˜‚πŸ˜‚

Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.

Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed 😁 😁
 
Yamekuwa hayo tena?

Kwahiyo nafasi ya kumi ndo imewafanya mfungwe 5 na Yanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…