Kwahiyo unamanisha anayetambaa amembugiza anayetembea mkono wa nyani?Ungejiuliza wewe na ubongo wako kwa nini hizo goli 5 hazijawaweka kwenye 10 bora Africa.
Jibu ni moja tu "bado mnatambaa" so subirini mkue ndipo mtaweza kukimbizana na watu wazima.
Ila yameingia?Ndio, Yanga haina ubora huo wa kutufunga goli 5 magoli yenyewe ni mepesi sana.
Kule Tanga ki aliwafunga Azam wakiwa wangapi!?Hakuna cha kuzidiwa bloangu,we mtu kama Aziz Key anafunga mbele ya wachezaji 5 hakuna hata anayejigusa hata kuslide takling kwelii??
Kuna tano zingine toka Azam January,6 toka pacome mwezi wa tatu,nyi endeleeni na ujinga wenu tuJibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.
Unataka jibu gani lingine?
Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora ππ
Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha ππ
Uto ni timu bora kuliko Simba ππ
Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite ππ
Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.
Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed π π
Eti eeeeh??Kule Tanga ki aliwafunga Azam wakiwa wangapi!?
Waache wajifanye mbuni,Kuna tano zingine toka Azam January,6 toka pacome mwezi wa tatu,nyi endeleeni na ujinga wenu tu
Hizo tano zitabaki kuwa tarakimu tu, Simba ni bora kuliko 5 zenu wachambuzi uchwara wa Mbagara. ππKuna tano zingine toka Azam January,6 toka pacome mwezi wa tatu,nyi endeleeni na ujinga wenu tu
Hata kama kampiga kwa kwa kwato ya kibudu bado Simba ni matawi ya juu sana.Kwahiyo unamanisha anayetambaa amembugiza anayetembea mkono wa nyani?
AaaahaaHata kama kampiga kwa kwa kwato ya kibudu bado Simba ni matawi ya juu sana.
Endeleeni kumchambua hizo 5 ila Simba ni ile ile inayotamba Africa.
Nyie kutamba kwa vibanda umiza vya Mbagara na Buza daima ππππππ
Hata mkipiga 29 hizo nazo zitabaki kuwa tarakimu tu bado nyie ni matawi ya chini aka daima mbele nyuma mwiko π€£π€£Aaaahaa
Ebu fikeni nafasi ya tano ili tuwapige kumi
Quality ya Yanga inapanda .....lkn quality ya kolo inashuka ....it's a matter of timeJibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.
Unataka jibu gani lingine?
Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora [emoji23][emoji23]
Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha [emoji23][emoji23]
Uto ni timu bora kuliko Simba [emoji23][emoji23]
Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite [emoji23][emoji23]
Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.
Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed [emoji16] [emoji16]
AaahaaaHata mkipiga 29 hizo nazo zitabaki kuwa tarakimu tu bado nyie ni matawi ya chini aka daima mbele nyuma mwiko π€£π€£
Heri yangu 'niliyechanganyishwa' na tarakimu 5 nikapata heshima huko CAF kuliko wewe uliyechanganywa na supu ya kibudu cha comredi hadi ukapoteza mwelekeo.Aaahaaa
Naona 5 zinakuchanganya mpaka unajitoa akili
AahaaaaaaAcha mkuu.....jamaa asijeanza kutukana [emoji1][emoji1]
Mashimo ana bifu na SimbaHeri yangu 'niliyechanganyishwa' na tarakimu 5 nikapata heshima huko CAF kuliko wewe uliyechanganywa na supu ya kibudu cha comredi hadi ukapoteza mwelekeo.
My take : mtafute pastor Mashimo akuombee utapona kwa sharti moja tu la kutoa sadaka.
Changamkia nafasi hiyo kabla hujaitoroka familia yako maana madhara ya supu ya comredi Bashite sio ya masaa 24 tu bali ni muda woteππ
Wanaomuandama Mangungu ni wale ambao hawajawaza hata kufungua channel ya whatsapp kuitangaza Uto, hao ni watu wanao suffer na madhara ya supu ππSasa mbona mnamuandama mangungu