EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Wanaomuandama Mangungu ni wale ambao hawajawaza hata kufungua channel ya whatsapp kuitangaza Uto, hao ni watu wanao suffer na madhara ya supu 😁😁

I think na wewe ni amongst wao πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahiyo channel ya whasaap ndo itapunguza magoli ya Yanga kati ya yale matano?
 
Yeye huyo bichwa ni nani wa kuhoji maamuzi ya Simba. Wasafi FM imekuwa kitengo ch propaganda cha Yanga.
 
Mashimo ana bifu na Simba

Mpekeeni sadaka zake
Tulimwambia wazi kuwa sie sio Uto kama anataka sadaka (hela za dezo) awasiliane na mama Abdul πŸ˜…πŸ˜…

Aliwasiliana naye basi!!?
Alichofanya ni kupandisha mashetani tu eti atailaani Simba.

Sisi sio Uto yeye alaani ni na sisi tupo ndani ya kumi bora Africa
 
Wanaomuandama Mangungu ni wale ambao hawajawaza hata kufungua channel ya whatsapp kuitangaza Uto, hao ni watu wanao suffer na madhara ya supu [emoji16][emoji16]

I think na wewe ni amongst wao [emoji23][emoji23]
Yaaah mkuu..... kichapo Cha 5....1 ni heavyweight
 
Kwahiyo kuwa kumi bora kumekusaidiaje kupunguza kipigo cha goli tano?
 
10 Bora Africa ndio kombe gan Mr. kolo[emoji1][emoji1]
 
Ubora utoke wapi!?..umenyukwa tano,ubingwa mwaka wa tatu unaenda kukosa,na msimu huu utagombea nafasi ya tatu na nne na singida na tabora united
Inamankusweke πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Are you doing well?

Umeshatapika supu au nkutapishe kwa mwiko ?

Madhara ya supu yakizidi muone pastor Mashimo utapona mwananchi.
 
Nilijua tu hujui lolote [emoji23]

Muulize rais wa Uto atakueleza kila kitu.

Na kama Humuamini injinia hesi basi ingia kwa tovuti ya CAF utapata jibu la swali lako.
Hapana mkuu

Boss wenu Mudi alisema anahitaji kombe la club bingwa .....but sijawahi kusikia kombe la 10 Bora Africa [emoji23][emoji23]
 
Wenzako walipewa supu na chapati tano,wakashindwa kumaliza wamewapelekea wenzao
Nitajie namba zao hao wenzangu, nitakuona wewe ni mzima wa afya kama utataja namba zao za uanachama Simba.

Kinyume na hapo utakuwa umetutangazia wazi kuwa you are suffering from madhara ya supu πŸ˜…πŸ˜…

My take : chukua hatua mtafute pastor Mashimo utapona mwananchi.
 
Hapana mkuu

Boss wenu Mudi alisema anahitaji kombe la club bingwa .....but sijawahi kusikia kombe la 10 Bora Africa [emoji23][emoji23]
Hata bosi wenu alisema hivyo hivyo ila hajapata hata hilo 'kombe la 10 bora' 😜 😜

Bila shaka umejua sasa kati ya Mudi na huyo bosi wenu nani ni mjanja 😁😁
 
Kolowizards likipovukwa baada ya kupigwa kwenye mshono kisawasawa 05/11/2023 [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…