BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mimi naona Messi aende Sayari nyingine...hamna namna!!
Hebu onaa,sifa zote anapewa yy tyuu;kwani anacheza peke yake uwanjani.!?
nampigia Gaucho simu anipe maoni yake juu ya Messi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Messi ana ballon de or 5, ana viatu vya dhahabu vi 5, na amefunga magoli ya kwanza ya kufungulia mwaka mara 5 mfululizo! Chakushangaza bingwa wa soka anakuja kupewa modric ambae hafiki hata robo ya Messi! Hakuna haki
Makamu wa Raisi aliyewashuhudia Maradona na Pelle anakwambia MESSI ni habari nyingine wewe ambaye hata Supersport ni hadi uende kibandaumiza na jero lako unabisha hadi mishipa inakukakamaa
Kiukweli kizazi hiki tuna bahati ya kumshuhudia King Messi maana wachezaji wa sampuli yake huzaliwa kila baada ya miaka 2000
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ni ipikwahiyo bingwa wa soka anaangaliwa kwa ballon de or za nyuma na magoli ya kufungulia mwaka. duh soka limeingiliwa
Makamu wa Raisi aliyewashuhudia Maradona na Pelle anakwambia MESSI ni habari nyingine wewe ambaye hata Supersport ni hadi uende kibandaumiza na jero lako unabisha hadi mishipa inakukakamaa
Kiukweli kizazi hiki tuna bahati ya kumshuhudia King Messi maana wachezaji wa sampuli yake huzaliwa kila baada ya miaka 2000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu tena ni chuki zisizo na msingiChuki zinawasumbua hawa vijana
PeriodMessi ana ballon de or 5, ana viatu vya dhahabu vi 5, na amefunga magoli ya kwanza ya kufungulia mwaka mara 5 mfululizo! Chakushangaza bingwa wa soka anakuja kupewa modric ambae hafiki hata robo ya Messi! Hakuna haki