BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Edo Kumwembe, najuwa mnamfahamu vizuri sana huyu mchambuzi, ni mmoja katika wachambuzi bora kabisa hapa Tanzania + Shaffii Dauda...na bila kumsahau Adriano Gulliani, hutu ni Makamu Raisi AC MILAN.
Haya ni maneno yao na si kutoka kwangu! Na Edo ni mchambuzi mahiri na anaujuwa mpira vizuri zaidi yangu mimi na pengine hata wewe.
ADRIANO GULLIANI,MAKAMU RAISI AC MILAN.👇
Baadhi ya Comments zilizojibiwa na wadau mbali mbali akiwemo Mchambuzi/Edo Kumwembe....
Huyu dada anaujuwa mpira haswaa, kama upo humu/JF, I salute you my dada! Upo vizuri sana...
Dharau,Matusi na kejeli haitakiwi...so changia kwa ustaarabu, Ahsante!