Edo Kumwembe/Adriano Gulliati kumhusu Mfalme wa Soka duniani

Nashindwa muelewa sasa nikiwataja watu wanaomkubali Pele si tutajaza majina tu hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni tatizo la kukosa hoja mkuu..!
Nimewaambia ukiuliza yupi ni mchezaji bora wa muda wote kila mtu atamtaja mchezaji ambaye anavutiwa naye zaidi..!
Wao wanalazimisha kila mtu aseme Messi ndiye,kwasababu Edo Kumwembe amesema..!
Ahahaaah,watu wanafurahisha sana..!
 
Kila mtu anamtaja mchezaji anaemkubali ni bora, mfano Pele,Maradona,C.Ronaldo na Messi wametajwa kuwa bora na watu tofauti tofauti kwahyo kuja na hoja eti fulani kasema wala haileti impact yoyote coz wapo wenzake waliosema tofauti na yeye labda kama mnataka dunia ipige kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…