Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna hoja wewe...Inabidi ukubaliane na hali halisi, so kuwa mpole tu
Na wanaomkubali Pele sio wengi? au hawaujui mpira kama Gulliani &kumwembe?Wenye mpira wao akina nani sasa? ina maana unapingana na GULLIANI RAISI WA AC MILAN + KUMWEMBE! maana sio wao tu wanaomkubali Messi, wako wengi sana. Sasa wewe kama nani ubishe!
Hauna hoja wewe...
Usilazimishe hisia zako, za Edo Kumwembe na wengine unaoamini kuwa ni wajuzi wa mpira kuliko wewe kuwa facts..!
Na wanaomkubali Pele sio wengi? au hawaujui mpira kama Gulliani &kumwembe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu wataje hapa hao wanao mkubali PeleNa wanaomkubali Pele sio wengi? au hawaujui mpira kama Gulliani &kumwembe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kwa upande wako..!Sina muda wa kubishana na wewe, so kila mtu abaki anachoamini yeye. Kwangu mimi King Messi ndie bora kuliko yeyote yule..full stop!
Ahahaaah...Wataje hao wanaomkubali pele, na mimi nitakuwekea list ya wanaomkubali Messi.
Nashindwa muelewa sasa nikiwataja watu wanaomkubali Pele si tutajaza majina tu hapa?Ahahaaah...
Kwahiyo mwenye list ndefu ndio mshindi,sio..!?
Hajakutajia tu,kakuwekea picha na chanzo cha habari...
Hilo ni tatizo la kukosa hoja mkuu..!Nashindwa muelewa sasa nikiwataja watu wanaomkubali Pele si tutajaza majina tu hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu anamtaja mchezaji anaemkubali ni bora, mfano Pele,Maradona,C.Ronaldo na Messi wametajwa kuwa bora na watu tofauti tofauti kwahyo kuja na hoja eti fulani kasema wala haileti impact yoyote coz wapo wenzake waliosema tofauti na yeye labda kama mnataka dunia ipige kuraHilo ni tatizo la kukosa hoja mkuu..!
Nimewaambia ukiuliza yupi ni mchezaji bora wa muda wote kila mtu atamtaja mchezaji ambaye anavutiwa naye zaidi..!
Wao wanalazimisha kila mtu aseme Messi ndiye,kwasababu Edo Kumwembe amesema..!
Ahahaaah,watu wanafurahisha sana..!
Pele "Was"