sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Huenda ni totoz za huko Belgium zinamzuzua, labda ni Pombe, ama kampani mbaya, n.k. lakini kwa umri alionao ni vema abadilike mapema
Hapo mwezi uliopita Edo Kumwembe aliwahi kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram akimuasa Kelvib John abadilike kinidhamu, hatuwezi kujua aba utovu upi lakuni hawa kina Edo wapo karibu sana na wachezaji na huwa wanasafiri sana nje kufatilia mpira, hivyo hakuropoka.
kwa sasa Kelvin kashushwa tena team ya vijana ya Genk, Pengine ni kwajili ya kukosa nidhamu.