sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nadhani saizi ndio kaingia 18, ukiangalia maisha aliyotokea huku Bongo na sasa yupo Ulaya na ana vihela inaweza kumchanganya kwamba kamaliza kazi ni muda wa ku enjoyInawezekana ni kweli
Anaikimbiza 21 sasa hivi.Nadhani saizi ndio kaingia 18, ukiangalia maisha aliyotokea huku Bongo na sasa yupo Ulaya na ana vihela inaweza kumchanganya kwamba kamaliza kazi ni muda wa ku enjoy