Edo Kumwembe: Diamond Platnumz ni brand kubwa kuliko Klabu ya Simba

Kuna jina jipya mtaani NYERO FC ni timu gani hii
 
Simba ni brand kubwa kuliko Diamond. Bali ukweli ni kwamba brand ya Simba iko underutilized tofauti na Diamond ambaye ya kwake iko well utilized na hivyo kuwa na thamani kubwa kuliko ile ya Simba.

Ni kama ambavyo Uingereza au Japan zimeweza kutengeneza Mataifa makubwa ndani ya tu-nchi tudogo ilhali Afrika yenyewe ni brand kubwa ila thamani yake ndogo pengine kuliko Uingereza au Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatetea ugali wake, sishangai.
 
Kwenye kila familia hapa bongo hukosi shabiki mmoja wa simba !!hiyo ni approximately 20m ya watu wanaoipenda simba diamond habadani hasilani hana uwezo wa kucheza taifa peke yake ila

simba mpaka mechi za mabonanza kama simba day wanajanza top!!diamond mimi ni shabiki wake kindakindaki ila napia ni shabiki wa simba ila ukiniambia ni chague kati ya wao simba nambari moja

N:b diamond atapita ila simba itabaki vizazi na vizazi huwezi kualinganisha liability na assets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio hasara ya kumjua Diamond na kuanza kumshabikia wakati ushazeeka.yani anamfananishaDiamond na Simba,hii mimea si mkizuri jamani acheni impigwe marufuku
 
Kwani Diamond ni mchezaji Wa simba?
Sawa simba ni brand ya generation to generation ila kwa muda huu Diamond ni brand kubwa kuliko simba, hii itaenda hadi kijana atapo drop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…