Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatetea ugali wake, sishangai.Mda huu wakiendelea na uchambuzi kupitia Redio ya Wasafi Fm katika kipindi cha Sports Arena
Edo Kumwembe amesema kwamba Msanii Diamond ni brand kubwa kuliko Club ya Soka ya Simba kwa udhamini kutoka kwa makampuni mengi kama;
1. Parimatch
2. Nice one
3. Coral color
4. Pepsi
Hivi kweli kwenye brand unaweza kufananisha club na msanii?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Msiwe na jazba, kwanza kilabu ni Mwamedi sio yenu na kiukweli, Platnumz ni brand kubwa kuliko 5imba Koko.
Bwana Kiribatumbo (nafikiri nimesema vizuri jina lako) mimi sijamshabikia Diamond wala mtu yeyote yule. Usiamkwe povu kama mama mjamzito sio mimi niliyeyasema haya, ni MUME WENU ndio alisema nyinyi ni MKE YAKE, usinikurupukie
Bwana Kiribatumbo (nafikiri nimesema vizuri jina lako) mimi sijamshabikia Diamond wala mtu yeyote yule. Usiamkwe povu kama mama mjamzito sio mimi niliyeyasema haya, ni MUME WENU ndio alisema nyinyi ni MKE YAKE, usinikurupukie
Kwani Diamond ni mchezaji Wa simba?Wakati Sir Alex Ferguson anamrushia kiatu David Beckham aliyekuwa kwenye ubora wake pale Manchester United na kumjeruhi jichoni katika vyumba vya kubadilishia nguo alimuambia. "Hata siku moja mchezaji hawezi kuwa mkubwa kuliko klabu."
What I mean.. Diamond kusema ni brand kubwa kuliko Simba ni kuwakosea heshima mashabiki wa Wanamsimbazi.
Diamond ni brand yenye limit na muda. Simba ni brand ya isiyokuwa na limit na muda. Means goes Generation to Generation. Period!
Hata mwenyewe umeshajua ujinga wako. Pole sana.
Unazungumzia EA wakati Diamond ni miongoni mwa wasanii pengine 5 wakubwa kwa Afrika nzima. Je Simba iko vipi?Yaani huyo kijana anayetumia jina ambalo sio lake ndio mkubwa kuliko Club bora kabisa Afrika Mashariki??
Diamond atapita tu kwani simba imeanza jana Simba sport club is continuously generation to generation
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasaKwani mechi za Simba na show za Diamond zipi zinajazaga?