Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Ukichelewa unakosa nafasi, maana kibongobongo mechi kama hizi uwanja huwa unatapika, yaani kama uwezo wake ni watu 60k ujue umejaza zaidi ya hao.
Kuna wale wanapita bila ticket, kuna wanaolanguliwa getini kuna staff. Ukichelewa unakosa siti.
Sasa kwasababu watu wanapenda mpira kuliko kazi basi wanawahi.
Kuna wale wanapita bila ticket, kuna wanaolanguliwa getini kuna staff. Ukichelewa unakosa siti.
Sasa kwasababu watu wanapenda mpira kuliko kazi basi wanawahi.