Edo Kumwembe: Mayele ana majivuno

Hizi tuhuma angezitoa mchezaji wa ndani ningeweza kumuelewa kwamba ni mswahili mwenzetu asiye na upeo.
Ila kwa mchezaji wa kulipwa inashangaza na kiukweli Mayele kazingua na heshima yake imeshuka.
Wakongo upeo wao wa akili upo chini,labda wale waliozaliwa nje ya congo,mayele anaamini hakuna mchezaji kama yeye alietokea hapa TZ haya mafanikio ya Yanga pasipo uwepo wake unamuumiza sana
 
Hii jan azam walimuomba mayele kwa mkopo na ndipo mwenyewe anapotaka kwenda huko kwa sasa kwa rafiki fei na bangala,pyramid wanatafuta striker dirisha kubwa kwa % flan wanaweza kumtoa mkopo mayele,so azam wako kazini kwa kila hali kuharibu mahusiano yaliyokuwepo kati ya mayele na uongozi wa Yanga kama walivyofanya kwa fei na bangala
 
Ni bora usikitike maana tuhuma ni kubwa na za aibu halafu aliyezitoa ni mtu ambaye alikuwa karibu na anawajua hao watu anaowatuhumu kwa zaidi ya miaka miwili ameishi nao akifanya nao kazi sasa mimi ninae wajulia mitandaoni wakina Hersi na Manara nawezaje mbishia mtu aliyefanya nao kazi kabisa pamoja
Inawezekana kinacho mfanya ashuke kiwango sio kurogwa au majini ila kwakuwa anawajua viongozi wake hao wa zamani ni watu wa ulozi na majini basi kijana wa watu anaweweseka huko alipo
 
Sasa akiwa na majivuno ndiyo mumtupie majini? Wacheni roho za kishetani hizo
 
Mwandishi mwemyewe pia ana majivuno kila kitu anajifanya anakijua yeye aache kiherehere.
 
Nimelia sana kwanini mnakandamiza na majini?point ipo hapa,mayele hajasema yupo mpweke hapana hapana,majini
 
Anatamani mno zile shobo zingeendelea hadi kule aliko ila kashangaa wabongo wamemsahau mapema sana
Hawajamsahau sababu kila mara ukiona wanamwandika. Suala ma jini tulilifanya sababu ya ujeuri wake. Na tutaendelea mtumia mpaka ashuke kiwango sana.
 
Sio kwamba kwakuwa zimetolewa na mchezaji wa nje ambaye ana heshima nje na ndani ya uwanja huenda tuhuma hizo zikawa zina ukweli ndani yake tofauti labda zingetolewa na Mkude au Ajib ambaye wengi tungehisi ni uswahili tu
Kijana wa miaka hii una amini uchawi! tuna safari ndefu
 
Kijana wa miaka hii una amini uchawi! tuna safari ndefu
Na aliyesema hayo anawajua nje ndani acheni kumtupia majini kijana mwenzetu atafute ridhiki huko alipo kwa amani
Mambo ya kuamini au kutoamini ni kazj ya mchezaji wenu wa zamani aliyewaangushia tuhuma sio mimi tena
 
Kuna mbunge aliwahi kulalamika kwamba Jwtz wanauawa Drc wakilinda maisha ya wakongomani huku wakongo wenyewe wakiwa bongo wanatetemesha vifua, naanza kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…