Edo Kumwembe na Idris Sultan punguzeni ushamba

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huu wa kupoat picha za timu mbalimbali za tz kisha kifuani mnazifuta sababu ya matangazo
Mbona mkipost timu zenu man U na arsenal
Hamfanyi hivyo?
A504DAFB-BAE7-4F0E-831D-83E4072A0504.jpeg
 
Huu wa kupoat picha za timu mbalimbali za tz kisha kifuani mnazifuta sababu ya matangazo
Mbona mkipost timu zenu man U na arsenal
Hamfanyi hivyo?View attachment 2389416
Ukiona hivyo jua kuwa wao ni mabalozi wa makampuni mengine ya betting hivyo hawawezi kuwatangaza M-bet.

Ndio maana utaona hatua ya makundi Simba atavaa jezi zimeandikwa Visit Tanzania, kwakuwa michuano ya CAF inadhaminiwa na 1Xbet hivyo M-Bet atawekwa pembeni kwa mgongano wa kimaslahi
 
Yanga wataweka visit jangwani
 
Si ushamba ww umesoma vigezo vya mikataba yao kwenye kampuni ambazo wao ni mabalozi?
Ni kosa pia kuedit picha ya mtu bila kumuhusisha maana hiyo ni copyright infringement, waliopiga hii picha wanaweza fungua kesi labda kama hiyo image ni bure na inaruhusiwa kuedit
 
Ngoja tuwashtue wapiga picha
 
Ukiona hivyo jua kuwa wao ni mabalozi wa makampuni mengine ya betting hivyo hawawezi kuwatangaza M-bet.

Ndio maana utaona hatua ya makundi Simba atavaa jezi zimeandikwa Visit Tanzania, kwakuwa michuano ya CAF inadhaminiwa na 1Xbet hivyo M-Bet atawekwa pembeni kwa mgongano wa kimaslahi
Kwakufanya hivyo wajue nawao wanafanya kosa Kwa kuondoa nembo ya udhamini bila makubaliano na wahusika na ni kinyume na Sheria, bora wangeacha kupost hizo picha kwasababu siyo lazima wazipost kama wanajua mikataba yao inawazua kufanya hivyo.
 
Mimi naona wanavyofuta hivo ndio inatoa attention zaidi. Anyway acha watafute ugali kwa namna yao maadam hawavunji sheria za nchi
 
Back
Top Bottom