Edo Kumwembe na neno 'THE WAY'

Edo Kumwembe na neno 'THE WAY'

Ndio Elimu yake ilipoishia hapo kwenye the way Mkuu halafu eti wachambuzi

Tatizo sio hizo dhe way dhe way zake..ana shida pia hata ya kuandika kiswahili sanifu..kwa mfano badala ya kuandika "upo uwezekano" ataandika "HUPO" Uwezekano..au "uwepo wake" ataandika "huwepo wake" matatizo haya yanajirudia rudia kila wakati na hawezi kujirekebisha..wanaomuona mchambuzi mahili ni vihiyo wenzake..uandishi na uchambuzi wake ni wa kuunga unga tu
 
wewe nawe umukurupuka alikuwa anaongelea DRC wanakocheza akina samatta na ulimwengu katika time ya TP Mazembe.
sasa hapa nani mkurupukaji?! tatizo lako umeleta mada kana kwamba watu wote wameangalia kipindi hicho akiwa anasema hayo kuwa ni congo dr, umeleta tu kama hivyo basi ungesema hata alikuwa anazungumzia juu ya tp mazembe, ungeweza kueleweka. Sasa unakuja tu ohoo, sijui congo, sasa congo ipi? kubali tu humu jf, ukija kichwa kichwa unapewa za uso unarudi kujipanga. ingekuwa fb sawa.
 
Huhitaji jicho la mwewe kuyaona yaliyonyuma ya pazia, ana makosa katika baadhi ya utamkaji wa maneno, lkn siyaandiki haya kwa hisia zangu ni ukweli mtupu
 
Mambo mengine yapuuze, yasikushughulishe...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1445575182.802564.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1445575182.802564.jpg
    31.7 KB · Views: 323
The way anavyokokota mpira... the way anavyompasia mwenzake... the way mabeki wanavyomdhibiti ... the way.... anavyowatoka... the way.... Ungekuwa mwalimu ungeshabatizwa jina.
 
kweli kweli huu ndio u great thinker ngachoka kheee hapo sipati picha ulivyo na gubu na watu ulioko nao karibu, mara unahema kwa nguvu, mara ukitembea unaburuza miguu mmmmh
 
Ww unampenda ndomana umeamua kumuanzishia uzi kwasababu unajisikia raha 2napomtajataja.Hata hilo neno unalipenda.Tumia fursa acha kumbwandambwanda!
 
The way anavyokokota mpira... the way anavyompasia mwenzake... the way mabeki wanavyomdhibiti ... the way.... anavyowatoka... the way.... Ungekuwa mwalimu ungeshabatizwa jina.

hakika, yeye a-revise notes zake za presentation skills. kurudia rudia kunapunguza ladha ya lugha
 
"..wanaomuona mchambuzi Mahili ni vihiyo wenzake.."uandishi na uchambuzi wake ni wa kuunga unga tu[/QUOTE]

Mkuu mbona hata na wewe una matatizo katika uandishi wako?sidhani kama utaweza kujirekebisha...

Mahili=Mahiri
 
Last edited by a moderator:
Mbona ww unatumia neno la baby baby sana kwa demu wako usemi....
 
"..wanaomuona mchambuzi Mahili ni vihiyo wenzake.."uandishi na uchambuzi wake ni wa kuunga unga tu

Mkuu mbona hata na wewe una matatizo katika uandishi wako?sidhani kama utaweza kujirekebisha...

Mahili=Mahiri[/QUOTE]

Naona umenikosoa kwa kilugha chenu!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona hata na wewe una matatizo katika uandishi wako?sidhani kama utaweza kujirekebisha...

Mahili=Mahiri

Naona umenikosoa kwa kilugha chenu!![/QUOTE]

Swadakta, kilugha cha kiswahili sanifu
 
Back
Top Bottom