Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Elimu yake ilipoishia hapo kwenye the way Mkuu halafu eti wachambuzi
sasa hapa nani mkurupukaji?! tatizo lako umeleta mada kana kwamba watu wote wameangalia kipindi hicho akiwa anasema hayo kuwa ni congo dr, umeleta tu kama hivyo basi ungesema hata alikuwa anazungumzia juu ya tp mazembe, ungeweza kueleweka. Sasa unakuja tu ohoo, sijui congo, sasa congo ipi? kubali tu humu jf, ukija kichwa kichwa unapewa za uso unarudi kujipanga. ingekuwa fb sawa.wewe nawe umukurupuka alikuwa anaongelea DRC wanakocheza akina samatta na ulimwengu katika time ya TP Mazembe.
Na wewe ni Great thinker ?
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
The way anavyokokota mpira... the way anavyompasia mwenzake... the way mabeki wanavyomdhibiti ... the way.... anavyowatoka... the way.... Ungekuwa mwalimu ungeshabatizwa jina.
"..wanaomuona mchambuzi Mahili ni vihiyo wenzake.."uandishi na uchambuzi wake ni wa kuunga unga tu
Mkuu mbona hata na wewe una matatizo katika uandishi wako?sidhani kama utaweza kujirekebisha...
Mahili=Mahiri