Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Dah maisha mazuri..Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Dah maisha mazuri..
Dogo wa kushoto anazidi kunenepa
MJUMBEEEEWCB sio serious media
Ni celebrity TV
Eddo ni sports celebrity
Kawaida celebrities wanafanyaga chochote tu.
Mradi fans wakiongelee au kiweze Ku trend
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Kushoto kwa Kumwembe au kushoto kwetu kwetu Sisi tunaotizama picha mkuu?Dah maisha mazuri..
Dogo wa kushoto anazidi kunenepa
Popoma umefungua ID nyingine tena?hawa Mods watakuua walahi.Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152