Edo Kumwembe naye ni mswahili, atinga kazini Wasafi FM akiwa na malapa

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
IMG_2835.JPG
 
View attachment 1497152
Dah maisha mazuri..
Dogo wa kushoto anazidi kunenepa
 
Hahahaaa......labda dress code yao inaruhusu. WHO CARES?
 
Sikiliza ulichokusudia kutoka kwake hayo mambo ya kavaaje,analipwaje na makorokoro mengine hayakusaidii.
 
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152

Subiri atakuja kukujibu hivi, "..wabongo bana tupo makini kuwapangia wenzetu nini cha kufanya...."
 
We kiazi unafkir unavoambiwa uchomekee na kuvaa suruali za vitambaa na kadeti kazini kwenu kila sehemu ni ivoivo...? Watu wanatia jeans... sandals...wanaweka dreadlocks...yani full ..kinachomata ni kazi tu....acha kukariri maisha dogo
 
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Popoma umefungua ID nyingine tena?hawa Mods watakuua walahi.
 
Back
Top Bottom