Edo Kumwembe naye ni mswahili, atinga kazini Wasafi FM akiwa na malapa

Edo Kumwembe naye ni mswahili, atinga kazini Wasafi FM akiwa na malapa

Mbona kwenye hiyo picha hata Ahmed kavaa?

Ila hapo Ambangile ndo kavaa safi wengine wamevaa hovyo hovyo
 
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152

Iko hivi, vituo vya radio na TV vina chumba maalum cha news room ukiachana na office zinginezo.

Media nyingi kama si zote, newsroom huruhusiwi kuingia na viatu! Wengi huenda wamevaa viatu lakini kuepuka usumbufu wa vua vaa viatu wanakuwa na ndala/sendo maalum za kuzungukia humo ndani mpaka muda wa kutoka ndipo unavaa viatu vyako unasepa!

Viatu huvaliwa kwa event maalum ndani ya studio, labda kaja mgeni maalum na itabidi ipigwe picha na n.k!

So, kwa watu wa media hilo jambo la kawaida sana kuwa na ndala studio badala ya kutembea miguu tupu unapasuka nyayo
 
Udingi unamsumbua huyo, isitoshe hajawahi fika kwenye media yoyote.
.
Mwambie Alpha Wawa anayemsomea habari kwenye TV ya Taifa huwa anaenda kazini na vipensi anavalia suti pale na directors wa behind the camera ni wavaa pensi wazuri tu.
JF inaenda kunishinda na maubabu babu haya
Kwani dogo we ubabu babu unauchukuliaje?
 
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Mtu ukiwa siyo mswahili, you don't even notice what other people wear. Marginals zinakuwa pembeni kabisa na wewe. Mind you pia kuwa na tabia ya kuwa na uangalifu uliopita kiasi kuhusiana na opinions za watu kwako, is a big sign of inferioty complex. Kuna siku niliwahi kumuona mtu ofisini akiwa amevaa kata mbuga zile za wamasai. Sijui kama alikuwa amefanya makosa kwa sababu sijawahi kuona mahai ambapo drtess code hairuhusu kuvaa viatu vya aina hiyo. However, I liked his style
 
Back
Top Bottom