wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Sory mkuu hapo wako wawili wenye sendo ndio yupi huyu edoSasa hayo ni malapa au ni sendo uwezi jua labda ana kidonda au miguu inauma...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sory mkuu hapo wako wawili wenye sendo ndio yupi huyu edoSasa hayo ni malapa au ni sendo uwezi jua labda ana kidonda au miguu inauma...
Watu wanamtaja sana Edo kwenye uchambuzi
Lakini hafiki hata robo kwa Ambangile
Ambangile kwa sasa naweza kusema ndo mchambuzi anayechambua mpira bila mihemko
Hata wakienda na bukta na singlend sawa tuu. Hiyo ni kampuni inamilikiwa na mkata viuno na sio DkKabisa jamaa yupo vizuri sana
Kwa nini umemchagua kumwembe na sio ambangile?Kushoto kwa Kumwembe au kushoto kwetu kwetu Sisi tunaotizama picha mkuu?
Huyo alie vaa track suti ya kitambaaSory mkuu hapo wako wawili wenye sendo ndio yupi huyu edo
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Kwani dogo we ubabu babu unauchukuliaje?Udingi unamsumbua huyo, isitoshe hajawahi fika kwenye media yoyote.
.
Mwambie Alpha Wawa anayemsomea habari kwenye TV ya Taifa huwa anaenda kazini na vipensi anavalia suti pale na directors wa behind the camera ni wavaa pensi wazuri tu.
JF inaenda kunishinda na maubabu babu haya
Naomba radhi mkuuUmeandika point ila hapo kwenye kutudharau Wasukuma ndipo ulipofeli
Ahaa kumbeeHuyo alie vaa track suti ya kitambaa
Kumbe wa kawaida ndio huyo naemsikiaga sijui mchambuzi wa mipira ?Huyo alie vaa track suti ya kitambaa
Ambangile ni very technical.Watu wanamtaja sana Edo kwenye uchambuzi
Lakini hafiki hata robo kwa Ambangile
Mtu ukiwa siyo mswahili, you don't even notice what other people wear. Marginals zinakuwa pembeni kabisa na wewe. Mind you pia kuwa na tabia ya kuwa na uangalifu uliopita kiasi kuhusiana na opinions za watu kwako, is a big sign of inferioty complex. Kuna siku niliwahi kumuona mtu ofisini akiwa amevaa kata mbuga zile za wamasai. Sijui kama alikuwa amefanya makosa kwa sababu sijawahi kuona mahai ambapo drtess code hairuhusu kuvaa viatu vya aina hiyo. However, I liked his styleHuyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152
Unataka Kumtengea Tunda Lako la Mti wa katikati alile vizuri?Ambangile ndiyo nani apo?
Sijawahi Kuiga ( Kumuiga ) bali ninajua Mimi ndiyo naigwa ndiyo maana nikawa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'Popoma umefungua ID nyingine tena?hawa Mods watakuua walahi.
Na sauti pia mbovuWatu wanamtaja sana Edo kwenye uchambuzi
Lakini hafiki hata robo kwa Ambangile
Ila ana Hela na Maisha mazuri Kukuzidi.Na sauti pia mbovu