Edo Kumwembe naye ni mswahili, atinga kazini Wasafi FM akiwa na malapa

Edo Kumwembe naye ni mswahili, atinga kazini Wasafi FM akiwa na malapa

Suti na mashati ya vitenge hayaongezi ufanisi wa kazi,ufanisi wa kazi upo kwenye kichwa chake na jitihada zake,ili mradi hayupo uchi mengine ni ya kupotezea...
 
Huyu jamaa licha ya kuwa fundi mzuri wa Uchambuzi, kuna mahala naye huwa anakwama, unavaaje malapa kwenda studio? Halafu hapo Wasafi Media napo hawazingatii uweledi wa Wafanyakazi wao? Wengi wa wafanyakzi hao ni poor katika dressing code! Edo badilika muige Maulid Kitenge mbona yuko safi anavaa vizuri tu!
View attachment 1497152

Acha ushamba dressing code , dressing code ndo nini mnajikalilisha, Kikubwa ni Akilini
 
Nakumbuka nimewai kufanya kazi kampuni za mzungu aise rah mnoo hakuna Cha dress code at ukija ujachana. Nywele fresh tu kikubwa Ni Kaz Kaz watu walikuwa wanakuja na kaptula kbsa Wala hamna noma kbsa vijana waliweka dred lock kbsa bila shida...
 
Amevaa malapa ila akaunti yake ya benki inasoma "nine figures"
Vipi ya kwako inasoma ngapi na hizo four angle zako ulizo vaa mkuu??



My take: Tafuta pesa mkuu, mwanaume akikosa pesa anakua na tabia za kimbeambea kama mwanamke.
 
Nina Pumu na Blood Group O+ ambao hata iweje hatutakuja Kuugua UKIMWI hata Siku moja na ndiyo maana sitaki niponyeshwe Ugonjwa huu wa Pumu.
mkuu aliyekudanganya kuwa blood Group O+ huwezi pata maambukizi ya HIV, kakuingiza chaka
 
Back
Top Bottom