msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Msameheni bure alikuwa kalewa pombe aina ya Serengeti Lager
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ten kutumi internet hii hii tunayotumia sisi,…. Unakuta kabeba habari kwa Fabrizio Roman mara kwa Gary Lineker afu anakuletea kwa kiswahiliwale ni watu wanaokusanya taarifa na kutuletea kitu ambacho hata wewe unaweza.
hawana uchambuzi wowote wanaenda na upepo tuu.
Msalimie edoAlikubashua wee.
Poleeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie edo
Mnatake seriously maneno ya mlevi?Wachambuzi Tanzania wachache sana.Wengi ni watoa taarifa za matukio.Msameheni bure alikuwa kalewa pombe aina ya Serengeti Lager
Mwisho atalewa aishie kujinyea.Ona sasa kanya mbele za watu.Fikiria mtu ni balozi wa bia, mshahara ni kunywa hizo bia tu