Edo kumwembe: Sakho akiitwa timu ya taifa ya Senegal naacha kazi

Edo kumwembe: Sakho akiitwa timu ya taifa ya Senegal naacha kazi

wale ni watu wanaokusanya taarifa na kutuletea kitu ambacho hata wewe unaweza.

hawana uchambuzi wowote wanaenda na upepo tuu.
Ten kutumi internet hii hii tunayotumia sisi,…. Unakuta kabeba habari kwa Fabrizio Roman mara kwa Gary Lineker afu anakuletea kwa kiswahili
 
Msameheni bure alikuwa kalewa pombe aina ya Serengeti Lager
Mnatake seriously maneno ya mlevi?Wachambuzi Tanzania wachache sana.Wengi ni watoa taarifa za matukio.
Mojawapo ya anayetumia taaluma yake vizuri ni George Ambangile.Huwa haropoki ovyo.
 
Back
Top Bottom