Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
🤷♂️🤷♂️🤷♂️uliona wapi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤷♂️🤷♂️🤷♂️uliona wapi .
Ache kula mema ya Dunia akale maharage utopoloni, huwezi amino Yanga kaenda Morocco kabeba debe tatu za mahindi na mbili za maharage sasa kule hakuna Kuni wamerudi nayokuna wajinga wanaamini eti miquissone atakuwa utopolo
dahh kiwango hichi cha ujinga ni level kubwa
inabidi walipe tozo ya ujinga wao
Haya Mautopolo siyo level ya Simba kabisa ni vile tunacheza nayo ligi moja basi kiherehere wanaiga kila kitu alafu kila wanachofanya wanajitambulisha kupitia Simba ili waonekane na wao wakubwa, sasa akili hawana wanaenda km makondo mwisho wa siku yamepotea njia haya yanarudi nyumbani sasa.
Hii timu ilitakiwa ifanyie shughuli zake shelisheli sio bongo