Edo Kumwembe: Taifa Letu lina nuksi

Edo Kumwembe: Taifa Letu lina nuksi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
“Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao, rafiki yetu Fei Toto amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba matokeo yake tuliyaona katika mechi za Taifa Stars. Hakuonyesha ubora wowote ule.”

Edo Kumwembe.

3848E16D-FA2B-40C6-A44C-FDC8D126A7BC.jpeg
 
Halafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!

I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.

Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!

Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
 
Kweli mtani... Kwa kweli ni vigumu kuwaelewa wachezaji kama George Mpole na Feisal. Walikuwa kwenye upeo wa juu, mara ghafla wanavimba na wanafanya maamuzi ambayo yanagharimu
 
Maisha ya soka ni mafupi, usipoyatumia vizuri wakati wake utajutia ukiwa bado kijana tu wa miaka 35. Ndio maana mimi huwa nawasifu Okwi na Morrison, hata Ajibu pia. Unachukua huku miaka miwili, kule wanakupandia unaenda miaka miwili, huku wanakuja kukupandia zaidi kwa miaka miwili. Kosa alilofanya Feisal ni kusaini Yanga mkataba mrefu
 
Yanga timu ya kipumbavu sana.. wanataka wachezaji wa ku- volunteer ili wawakamue jasho lao pasipo kuwalipa chochote... angalia kwa Ngasa walimpamba akapambika akasahau maslahi yake sasahiv kachoka na ndo wanataka fei nae yamkute hayohayo pumbafu..
 
Halafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!

I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.

Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!

Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
Kumbe joji mpole yupo DRcongo? Angebaki tu geita aendelee kukuza kipaji yaani kile kiatu cha ndondokela ndio kikampa kibri
 
Kweli mtani... Kwa kweli ni vigumu kuwaelewa wachezaji kama George Mpole na Feisal. Walikuwa kwenye upeo wa juu, mara ghafla wanavimba na wanafanya maamuzi ambayo yanagharimu
Wacheza mpira IQ ni ndogo,ndo maana unatakiwa uwe na mwanasheria,manager watu wa kuiushauri wenye upe😵therwise unajikuta unafanya ujinga kama wa Feitoto.
 
Usitukane wachezaji aisee.. kuwa na wanasheria, mameneja na washauri sio suala la IQ. Mcheza mpira ni kama kampuni na anatakiwa awe na washauri au mwanasheria sio Kwa sababu ya IQ.
 
Kua na IQ ndogo ni tusi?au huelewi maana ya IQ?
 
Halafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!

I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.

Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!

Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
KWAKWELI KAMA FEI ASINGEFANYA HUU UJINGA KWA JINSI ALIVYOKIWASHA MSIMU HUU SAA HIZI ANGEKUWA NYUMA YA MAYELE KWENYE UFUNGAJI NA MVP AWARD ANGEINYAKUA LKN NDO IVYO WABONGO TUNA BAHATI MBAYA SANA WACHEZAJI WETU HAWAJIELEWI
 
Usitukane wachezaji aisee.. kuwa na wanasheria, mameneja na washauri sio suala la IQ. Mcheza mpira ni kama kampuni na anatakiwa awe na washauri au mwanasheria sio Kwa sababu ya IQ.
Yap pamoja na wote ila lazima na wewe utumie akili yako.Wacheza mpira wengi ni vilaza.
 
“Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao, rafiki yetu Fei Toto amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba matokeo yake tuliyaona katika mechi za Taifa Stars. Hakuonyesha ubora wowote ule.”

Edo Kumwembe.

View attachment 2585756
Fei kazingua....huenda alikosa washauri wazuri.
 
Kwani si tulishakubaliana tumwache Fei apambane tu kula ugali + sukari
 
KWAKWELI KAMA FEI ASINGEFANYA HUU UJINGA KWA JINSI ALIVYOKIWASHA MSIMU HUU SAA HIZI ANGEKUWA NYUMA YA MAYELE KWENYE UFUNGAJI NA MVP AWARD ANGEINYAKUA LKN NDO IVYO WABONGO TUNA BAHATI MBAYA SANA WACHEZAJI WETU HAWAJIELEWI
Muache anyooshwe, pumbafu zake.
Nimekerwa naye sababu nilikua namtetea sana, kumbe behind anavimbishwa kichwa kipuuzi na wapuuzi, halafu hana hoja?!
 
Back
Top Bottom