Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Kuna kitu kwenye timu ya Taifa hakipo sawa.
Washambuliaji waliochaguliwa timu ya Taifa hakuna wafunga magoli, wakati kuna wazawa kwenye vilabu vyetu kwenye hizo nafasi wangeitwa wangeisaidia sana timu.
Yaani mchezaji kama Fei mwenye utovu wa nidhamu anaitwa timu ya Taifa, unategemea timu itafanya vizuri kweli?
Kwenye hii Dunia Ishi kwa wema, usije sababisha manunguniko kwa watu sababu mwisho wake sio mzuri. Ajifunze kwa waliopita na funzo zuri ni kwa yaliyotokea awamu iliyopita.
TUTAENDELEA KUWA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.

Halafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!
I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.
Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!
Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.