Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kweli mtani... Kwa kweli ni vigumu kuwaelewa wachezaji kama George Mpole na Feisal. Walikuwa kwenye upeo wa juu, mara ghafla wanavimba na wanafanya maamuzi ambayo yanagharimuHalafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!
I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.
Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!
Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
Kumbe joji mpole yupo DRcongo? Angebaki tu geita aendelee kukuza kipaji yaani kile kiatu cha ndondokela ndio kikampa kibriHalafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!
I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.
Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!
Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
Wacheza mpira IQ ni ndogo,ndo maana unatakiwa uwe na mwanasheria,manager watu wa kuiushauri wenye upe😵therwise unajikuta unafanya ujinga kama wa Feitoto.Kweli mtani... Kwa kweli ni vigumu kuwaelewa wachezaji kama George Mpole na Feisal. Walikuwa kwenye upeo wa juu, mara ghafla wanavimba na wanafanya maamuzi ambayo yanagharimu
Usitukane wachezaji aisee.. kuwa na wanasheria, mameneja na washauri sio suala la IQ. Mcheza mpira ni kama kampuni na anatakiwa awe na washauri au mwanasheria sio Kwa sababu ya IQ.Wacheza mpira IQ ni ndogo,ndo maana unatakiwa uwe na mwanasheria,manager watu wa kuiushauri wenye upe😵therwise unajikuta unafanya ujinga kama wa Feitoto.
Kua na IQ ndogo ni tusi?au huelewi maana ya IQ?Usitukane wachezaji aisee.. kuwa na wanasheria, mameneja na washauri sio suala la IQ. Mcheza mpira ni kama kampuni na anatakiwa awe na washauri au mwanasheria sio Kwa sababu ya IQ.
Kwa hii comment yako IQ yako ni ndogo.Kua na IQ ndogo ni tusi?au huelewi maana ya IQ?
KWAKWELI KAMA FEI ASINGEFANYA HUU UJINGA KWA JINSI ALIVYOKIWASHA MSIMU HUU SAA HIZI ANGEKUWA NYUMA YA MAYELE KWENYE UFUNGAJI NA MVP AWARD ANGEINYAKUA LKN NDO IVYO WABONGO TUNA BAHATI MBAYA SANA WACHEZAJI WETU HAWAJIELEWIHalafu mtani wangu Kiweriweri anashangaa wafungaji wa magoli katika timu za Yanga na simba kuwa ni wageni pekee! Sasa kwa wachezaji wetu wazawa aina ya Fei Toto ndiyo tutarajie maajabu!!
I widh tungepata akina Simon Msuva na Mbwana Samatta 10 tu kwenye ligi yetu! Mbona hawa akina Mayele na Baleke wangekuwa hawaimbwi kila siku.
Muangalie George Mpore! Baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita; akaivimbia timu yake ya Geita Gold, huku akijiona yeye ni wa thamani kuliko wachezaji wenzake wote! Mwisho wa siku, amesajiliwa DRC, ambako hata nafasi tu ya kucheza, hapewi!
Kiufupi wachezaji wetu wengi wa ndani wanahitaji elimu ya ziada kuhusu kujitambua.
Yap pamoja na wote ila lazima na wewe utumie akili yako.Wacheza mpira wengi ni vilaza.Usitukane wachezaji aisee.. kuwa na wanasheria, mameneja na washauri sio suala la IQ. Mcheza mpira ni kama kampuni na anatakiwa awe na washauri au mwanasheria sio Kwa sababu ya IQ.
Fei kazingua....huenda alikosa washauri wazuri.“Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao, rafiki yetu Fei Toto amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba matokeo yake tuliyaona katika mechi za Taifa Stars. Hakuonyesha ubora wowote ule.”
Edo Kumwembe.
View attachment 2585756
Muache anyooshwe, pumbafu zake.KWAKWELI KAMA FEI ASINGEFANYA HUU UJINGA KWA JINSI ALIVYOKIWASHA MSIMU HUU SAA HIZI ANGEKUWA NYUMA YA MAYELE KWENYE UFUNGAJI NA MVP AWARD ANGEINYAKUA LKN NDO IVYO WABONGO TUNA BAHATI MBAYA SANA WACHEZAJI WETU HAWAJIELEWI