Edo Kumwembe: Taifa Letu lina nuksi

Kuna kitu kwenye timu ya Taifa hakipo sawa.

Washambuliaji waliochaguliwa timu ya Taifa hakuna wafunga magoli, wakati kuna wazawa kwenye vilabu vyetu kwenye hizo nafasi wangeitwa wangeisaidia sana timu.

Yaani mchezaji kama Fei mwenye utovu wa nidhamu anaitwa timu ya Taifa, unategemea timu itafanya vizuri kweli?

Kwenye hii Dunia Ishi kwa wema, usije sababisha manunguniko kwa watu sababu mwisho wake sio mzuri. Ajifunze kwa waliopita na funzo zuri ni kwa yaliyotokea awamu iliyopita.

TUTAENDELEA KUWA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.
 
Huyu naye, kwahiyo kiwango alicho onesha samatta naye ni sababu ya mikataba? Kwamba Fei hata akiwa anacheza hakuwahi kuwa na bad games taifa starz?
 
Kuna mchezaji gani aliyetoka Utopolo akaenda Simba akaendelea na kipaji chake?
Kwahiyo huwa wanalogwa ? Au kuna shida gani hapo mkuu ebu dadavua.Maana ukiangalia unachokisema ndani yake ni kama kuna ka ukweli fulani.
 
Kama ni kweli haya maneno kaandika Eddo basi huyu jamaa ni mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…