Edo Kumwembe: Timu zisipokuwa makini zitapigwa 5 tena na Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
EDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.

Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane Agosti 8, YANGA SC VS MAGOMA SC.

NB: Si mmeona match za pre season tunazocheza, baadae msije mkasema tunanunua match.[emoji91][emoji91]

1721499447933.jpg
 
Hii Yanga iliyocheza na timu C ya Augsburg ama ipi?

Yanga walikuwa hawakai na mipira hata kwa sekunde tatu wamenyang'anywa ndiyo timu kubwa?

Augsburg ilikuwa inacheza kama ipo mazoezini ndiyo anasema ilikamia?

Hii hii timu C ya Augsburg ingeamua kucheza serious basi Yanga angekula sio chini ya bao 8.
 
View attachment 3047726
Ila njaa mbaya sana
 
Simba alicheza Sevilla ikiwa ya moto tena ni bingwa wa EUROPA wa muda wote lakini mbungi ilipigwa haswa na matokeo mliyaona wenyewe.
Sa si ndio mlikuwa wa moto na makombe mlichukua kama kwenda sokoni kununua bamia
Na Yanga huu ndio wakati wake
Simba Ile kagere Bocco Nyoni na tena kwa Mkapa ila mlikula 5 kama zile za yanga
 
Hii Yanga iliyocheza na timu C ya Augsburg ama ipi?

Yanga walikuwa hawakai na mipira hata kwa sekunde tatu wamenyang'anywa ndiyo timu kubwa?

Augsburg ilikuwa inacheza kama ipo mazoezini ndiyo anasema ilikamia?

Hii hii timu C ya Augsburg ingeamua kucheza serious basi Yanga angekula sio chini ya bao 8.
Je wangekua Simba wangekula ngapi
 
Regular players wa Ozbag walikuwa wawili tuu. Mmoja kipindi cha kwanza mwingine cha pili. Waliobaki ni timu b na usajili mpya. Haya mwambieni kumwembe afate mgao wake kw garibu maana ameshafanya kazi aliyopewa.
Laiti ungejua....Edo ni kolo
 
EDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.

Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane Agosti 8, YANGA SC VS MAGOMA SC.

NB: Si mmeona match za pre season tunazocheza, baadae msije mkasema tunanunua match.[emoji91][emoji91]

View attachment 3047726
Na huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom