Edo Kumwembe: Timu zisipokuwa makini zitapigwa 5 tena na Yanga

Edo Kumwembe: Timu zisipokuwa makini zitapigwa 5 tena na Yanga

Regular players wa Ozbag walikuwa wawili tuu. Mmoja kipindi cha kwanza mwingine cha pili. Waliobaki ni timu b na usajili mpya. Haya mwambieni kumwembe afate mgao wake kw garibu maana ameshafanya kazi aliyopewa.
Unaumwa si bure.
 
Hii Yanga iliyocheza na timu C ya Augsburg ama ipi?

Yanga walikuwa hawakai na mipira hata kwa sekunde tatu wamenyang'anywa ndiyo timu kubwa?

Augsburg ilikuwa inacheza kama ipo mazoezini ndiyo anasema ilikamia?

Hii hii timu C ya Augsburg ingeamua kucheza serious basi Yanga angekula sio chini ya bao 8.
Mbona kuna wengine wamepigwa 6 halafu wamejikausha wakifikiri hatutapata matokeo
 
Simba alicheza Sevilla ikiwa ya moto tena ni bingwa wa EUROPA wa muda wote lakini mbungi ilipigwa haswa na matokeo mliyaona wenyewe.
Kwan hiyo tar 8 ni Yanga iliyocheza na FC Augsburg Vs Simba iliyocheza na Sevilla?
 
Back
Top Bottom