Hebu tuletee ball possession kwa hiyo mechi ili ututhibitishie.Hii Yanga iliyocheza na timu C ya Augsburg ama ipi?
Yanga walikuwa hawakai na mipira hata kwa sekunde tatu wamenyang'anywa ndiyo timu kubwa?
Augsburg ilikuwa inacheza kama ipo mazoezini ndiyo anasema ilikamia?
Hii hii timu C ya Augsburg ingeamua kucheza serious basi Yanga angekula sio chini ya bao 8.