Ila njaa mbaya sanaEDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.
Imagine FC Augsburg inakamia mpaka imesahau kama inacheza na Yanga badala yake wanadhani ni Bayern. Hakika hii Yanga ni lidude likubwa. Tukutane Agosti 8, YANGA SC VS MAGOMA SC.
NB: Si mmeona match za pre season tunazocheza, baadae msije mkasema tunanunua match.[emoji91][emoji91]
View attachment 3047726
Sa si ndio mlikuwa wa moto na makombe mlichukua kama kwenda sokoni kununua bamiaSimba alicheza Sevilla ikiwa ya moto tena ni bingwa wa EUROPA wa muda wote lakini mbungi ilipigwa haswa na matokeo mliyaona wenyewe.
Je wangekua Simba wangekula ngapiHii Yanga iliyocheza na timu C ya Augsburg ama ipi?
Yanga walikuwa hawakai na mipira hata kwa sekunde tatu wamenyang'anywa ndiyo timu kubwa?
Augsburg ilikuwa inacheza kama ipo mazoezini ndiyo anasema ilikamia?
Hii hii timu C ya Augsburg ingeamua kucheza serious basi Yanga angekula sio chini ya bao 8.
Laiti ungejua....Edo ni koloRegular players wa Ozbag walikuwa wawili tuu. Mmoja kipindi cha kwanza mwingine cha pili. Waliobaki ni timu b na usajili mpya. Haya mwambieni kumwembe afate mgao wake kw garibu maana ameshafanya kazi aliyopewa.
Kwahiyo akiwa kolo ndio mgawo wa gsm hautaki? Mbona manara ni koloLaiti ungejua....Edo ni kolo
Na huo ndio ukweliEDO: WATU WASIPOKUWA MAKINI WATAPIGWA TENA 5.