Edo Kumwembe: Tumekuwa na Aziz Ki watatu tofauti ndani ya miezi 10

Wachezaji wote wa Yanga wana quality, kuPanda na kushuka ni kawaida tu ilikuwa hivyo kwa Lomalisa na Moloko mkaongea sana ila sasa wamewaziba matundu yote ya mwili kwenu
Ok, utopolo ina wachezaji wa aina tatu kwa kila mmoja wao.
 
Huyu Jamaa ana chenga Kama 'Treni' yaani anatanguliza Mpira halafu Yeye anakuzunguruka Kule Kwenda kuuwai....!!

Nani Alikuwa anamlinganisha Na Chama..? Ni Kosa Kubwa kumlinganisha Na Mwanasoka Bora Wa CAF.
Huyu Chama alie fail Morocco?
 
Apply energy hiyo hiyo kwa kila timu maana kuna timu hata ikishinda goli 5 mnakujana na vimaneno vyenu kuwaponda mkishirikiana na wacha-mbuzi kama hawa.
Endeleeni kujifariji na kiwango kibovu cha Azizi K tutakutana May tupige hesabu nyie wenye mchezaji bora wa mwezi na sisi
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…