Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Anaenda Denmark timu gani na IPO daraja la ngapi?
Wakala wake ni nani?
Himid ana injuries kibao. Hiyo trial ni pamoja na medical examination. Sio foot work pekee.
Kuambiwa ni too late sio kumkatisha tamaa. Anawapa alerts wengine. Wajiandae at the age of 15.
Wewe kwenye umri wa miaka 15 au Edo si mlikuwa darasa la pili tena huyu Mao mara 100 baba yake kasukuma gozi manake kidogo kaandaliwa, kwani Samata kakanyaga ulaya na miaka mingapi?
Au kunya aje kuku tu!!!!!