mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Hata kwa mwandishi wa habari, lazima kuwe na tofauti baina ya kutoa mawazo na 'kutoa povu'.Nadhani, Eddo katoa mawazo yake....kama we unavyotoa yako hapa na huku wengine tukitoa mawazo yetu kwenye mawazo yako...kama we ulivyotoa mawazo yako kutoka kwenye mawazo ya Edo. Nadhani Watz inabidi tujifunze kuheshimu mawazo ya mtu...hata kama ni kinyume cha mawazo yako