Edo Kumwembe umechemka.


Wewe kwenye umri wa miaka 15 au Edo si mlikuwa darasa la pili tena huyu Mao mara 100 baba yake kasukuma gozi manake kidogo kaandaliwa, kwani Samata kakanyaga ulaya na miaka mingapi?

Au kunya aje kuku tu!!!!!
 
Mchambuzi wa soka ninayekubali asiye ushabiki ni Dk Leakey Abdallah tu. Hao wengine chenga chenga tu
 
Na mimi nasema ni kweli kachelewaa... Ni mtazamo wangu usijenge chuki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…