Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.
Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.
Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!