Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

Kwani una hakika watekaji hawalipwi pesa?

Huo ni uhalifu si kutafuta pesa ,fedha hazitafutwi kwa kufanya uhalifu na ndiyo maana ni kosa kisheria.

Ukishika mjegejo na kupora mali kwa mtutu huo si utafutaji ni uhalifu ambao ni USHAMBA.
 
Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.

Namnukuu Edo Kumwembe,

Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.

Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.

Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
Inawezekana utekaji ni masharti mapya ya IMF.
 
Ukweli mtupu!
 
Back
Top Bottom