Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

Edo Kumwembe: Utekaji ni ushamba na unaharibu taswira ya Nchi

Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.

Namnukuu Edo Kumwembe,

Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.

Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.

Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
Kutekana ni mambo ya kishamba.
 
Kuna tofauti ya kiongozi mkali na yule mwenye chuki.

Kuna Chuki na kuchukia nayo pia ni hulka tofauti.

Chuki haina muda ina visasi visivyo na maana . Chuki haina jema .Chuki haina kanuni?

Mtu mkali anafuata kanuni .Ulivunja kanuni anakuadhubu .

Mtu Mkali anamsimamo anaouamini. Anatambulika kwa msimamo wake na anausimamia.

Mfano akisema sitaki siasa . Anasimamia hapo na wanasiasa wanachagua wenyewe kufanya siasa au kutii. Wakifanya wanajipanga wenyewe.

Mwenye chuki haaminiki maana hana msimamo na sio mkweli.

Mtu mwenye chuki anaweza akakupitisha kwenye msitu wenye chui kwa makusudi ili uliwe.

Mwenye chuki haaminiki .

Mwenye chuki akigombani na mzazi anawachukia mpaka watoto na kulipa kisasi kwa watoto wasiohusika.

Chuki ni jambo baya sana.
Mulisema mie ni mpole mpole , sasa na waletea mtu mkali mkali ,chuma hiki na sasa ameanza kutema checheeeee!!

Mkali huna baya!!!
R.I.P. Ally Kibao
 
Ni upumbavu.
Kila kitu chenu,serikali,bunge, mahakama ,polisi,jwtz tiss n.k
Vyote mnamiliki nyie.sasa hofu ya Nini?unamteka mtu update FAIDA Gani?au una muuza kwa FAIDA ipi?
Hawa jamaa ni viumbe wa ajabu Sana...
 
Awamu ya sita tuna rais mshamba sana.mambo ya kutekana tekana hatujawahi kuyashuhudia Toka tupate uhuru lakini yeye tu ndiyo kayaleta haya.2025 atupishe akalime mwani kizimkazi.
 
Na huyo mpumbavu anafikiri usalama wa nchi ni ile uchambuzi wake kindezi wa mpira? Aingie kwenye anga za hao wajomba halafu atuambie ni ushamba.
Wajimba gani hao mkuu.. tusanue
 
Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.

Namnukuu Edo Kumwembe,

Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya nchi yetu, mbaya zaidi watekaji wanapata nguvu kwakuwa hawachukuliwi sheria.

Akaongeza, mpaka leo hatujasikia waliomteka Mzee Kibao kama wamekamatwa, wala hatujasikia waliotaka kumteka Tarimo kama wamekamatwa.

Jeshi la polisi halieupuki lawama hizo. Alimalizia Edo Kumwembe!!
Watekaji wa Tanzania kwasasa ni taasisi kinachotakiwa ni jamii kuamua kwamba utekaji basi, Jamii ikikaa kimya wasiojulikana wataendelea kutojulikana

Jamii ya Tanzania kwasasa tuseme ni jamii ya kanyaga twende yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Jamii ambayo inashindwa kuwadhibiti watekaji,

Tume zinaundwa nyuma ya mikamera lakini majibu ya hizo tume nyumba ya pazia
 
Nimetoa wazo,watekaji tuwajue halafu tuwachome moto hadharani litakoma hili
 
Edo kumwembe ni mlevi mkubwa wa smart gin aka visungura
 
Afu ushamba huu kauasisi Jiwe sababu hakuwa na nguvu ya kujibu hoja, na sisi tumeona unafaa ndo tunaendelea nao.
 
Namshauri Edo kumwembe afunge camera nyumbani, na pia afunge dashcam kwenye gari yake lakini muhimu zaidi ya vyote aache ulevi maana akienda bar tu wanae, mwisho kabisa kwakuwa anajiweza akienda Londo anunue tracking device ajiwekee kwenye meno. Hawatamuacha salama.
 
Na huyo mpumbavu anafikiri usalama wa nchi ni ile uchambuzi wake kindezi wa mpira? Aingie kwenye anga za hao wajomba halafu atuambie ni ushamba.
Ni ushamba nasema hapa na mtaani nasema Mimi ni ushamba ukinifata nakufanya Kama Zakaria alivyowafanya kumanina zenu
 
Afu ushamba huu kauasisi Jiwe sababu hakuwa na nguvu ya kujibu hoja, na sisi tumeona unafaa ndo tunaendelea nao.
Dr Ulimboka alipotekwa ulikuwa utawala wa Jiwe? Punguza mihemko!
 
Back
Top Bottom